• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yabuni mfumo wa kupata matokea ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-04-09 19:53:53

    Wanasayansi wa China wamefanikiwa kubuni mfumo wa kupata majibu ya haraka ya vipimo vya virusi vya Corona. Mfumo huo unaweza kuhifadhiwa na kusafirishwa katika joto la kawaida, na matokeo yanaweza kupatikana dakika 45. Kifaa chenyewe ni kidogo, ni rahisi kubebwa, na kinaweza kutumiwa kupima nucleic acid ya virusi vya Corona papo hapo. China imeidhinisha mfumo huo ambao kiwango cha usahihi kimefikia zaidi ya 99 baada ya kufanyiwa majaribio ya kupima sampuli zaidi ya 600.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako