• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya miongoni mwa nchi ambazo zitapokea misaada ya deni

    (GMT+08:00) 2020-04-14 19:35:20

    Kenya ni kati ya nchi masikini 76 zinauwezo wakupokea misaada ya deni iliyopangwa na nchi 20 tajiri zaidi ulimwenguni kufuatia maagizo ya Benki ya Dunia na mfuko wa fedha wa kimataifa (IMF).

    Mpango huo, utakamishw wakati mawaziri wa fedha watakutana baadaye wiki hii kujadili ya malipo ya deni.

    Kuzingatia Uchumi unaorodhesha Kenya katika nafasi ya 17 kati ya nchi masikini zaidi duniani.

    Mapema mwezi huu, mkopeshaji wa kimataifa aliidhinisha dola milioni 50 (Sh6 bilioni) kwa ufadhili wa haraka ili kusaidia Kenya kupambana na janga corona chini ya operesheni mpya.

    Kusitishwa kwa ulipaji mikopo ni habari njema kwa Kenya ambayo kwa sasa inajitahidi kulipa deni kubwa la umma la Sh6.15 trilioni, nusu ya deni lake kwa wakopeshaji wa kimataifa, huku kukiwa na ukusanyaji wa mapato ya chini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako