• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IMF yaonya uchumi wa dunia utapungua kwa asilimia 3

    (GMT+08:00) 2020-04-15 18:59:42

    Shirika la fedha la kimataifa IMF limesema kuwa uchumi wa dunia utapungua kwa asilimia 3 mwaka huu huku nchi nyingi duniani zikiwa na upungufu wa haraka kuwahi kutokea kwa miongo kadhaa.

    IMF imetaja atahri za uchumi za mwaka huu kuwa mbaya zaidi kama ilivyoshuhudiwa miaka ya 1930, kutokana na janga la virusi vya corona.

    Aidha IMF imesema kuwa kusambaa kwa Corona kutapiwa uwezo wa serikali na benki kuu za nchi mbalimbali wa kukabili mizozo ya kifedha.

    Mchumi mkuu wa IMPF Gita Gopinath, amesema mzozo wa sasa unaweza kuondoa dola trilioni 9 kwa pato la jumla kote duniani ndani ya miaka 2 ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako