• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wateja wafuta ununuzi wa ndege za Boeing

    (GMT+08:00) 2020-04-15 19:01:37

    Wateja wa kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing wamefuta manunuzi ya ndege 150 mwezi Machi kufuatia kupungua kwa mahitaji ya usafiri wa anga kuwahi kushuhudiwa ndani ya miongo kadhaa.

    Ndege ambazo wateja wamefuta oda zao ni zile za 737 Max ambazo pia zimeathiriwa na kutokea kwa ajali zinazozihusisha na kuuwa abiria 346.

    Kulingana na kampuni ya ufuatiliaji wa safari za ndege ya Circium imesema sasa kuna zaidi ya ndege aina ya Jet 14,000 ambazo zimeegeshwa kote duniani.

    Ndege hizo zinawakilisha asilimia 63 ya ndege zote duniani.

    Boeing imesema kwenye taarifa kuwa inawasiliana na wateja wake wambao wengi wanakubwa na mzozo wa kifedha, ili kufuta suluhu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako