• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya Airways kubadilisha baadhi ya ndege zake za abiria kuwa za mizigo

    (GMT+08:00) 2020-04-15 19:01:57

    Shirika la ndege la Kenya Kenya Airways limetangaza kuwa linabadilisha baadhi ya ndege zake za abiria kuwa ndege za mizigo.

    Limesema kuwa hatua hiyo inafuatia kupungua kwa abiria kote duniani.

    Mapema wiki hii ndege ya Kenya airways KQ 2764 imesafirisha bidhaa za matibabu kwenda nchini Afrika Kusini.

    Baadhi ya ndege zake za abiria sasa zitatumika kusafiriha mizigo wakati huu dunia ikipambana na virusi vya corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako