• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Zaidi ya wafanyakazi 2,000 wa Mgodi wa geita walipiwa mafao yao kwa NSSF

    (GMT+08:00) 2020-04-15 19:02:16

    Mgodi wa madini ya dhahabu wa Geita umelipa shilingi bilioni 5.01 kwa mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii nchini Tanzania (NSSF mwezi Februari, 2020 ikiwa ni mchango wa mwezi Januari 2020 kwa wafanyakazi 2,038.

    Aidha, katika mwezi huo, wanachama 6,128 ambao wameajiriwa na makandarasi 39 wanaotoa huduma ndani ya mgodi huo walikuwa wameandikishwa na NSSF na kuchangiwa wastani wa Sh. bilioni 1.3.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako