• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RwandAir yaanza safari za ndege za mizigo katika miji ya Brussels,London na Guangzhou

    (GMT+08:00) 2020-04-16 19:28:38
    Shirika la ndege la RwandAir litarusha ndege za mizigo katika sehemu tatu kuu duniani ili kusaidia usafirishaji na pia uagizaji wa bidhaa muhimu.

    Shrika hilo litasafiri Brussels (Ubelgiji),London (Uingereza) ,na Guangzhou (China).

    Miji ya Brussels na London inalengwa kusaidia usafirishaji bara Ulaya na Guangzhou iatasaidia upatikanaji wa vifaa vya matibabu na bidhaa nyengine muhimu nchini Rwanda.

    Afisa Mkuu Mtendaji wa RwandAir Yvonne Makolo,alisema ndege hizo zitawawezesha wazalishaji wa ndani kufikia masoko ya kimataifa na pia uagizaji wa bidhaa muhimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako