• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi wa Kenya utakua kwa asilimia 6.1 mwaka ujao,yasema IMF

    (GMT+08:00) 2020-04-16 19:29:18

    Mambo sio mazuri kwa sasa,lakini habari njema ni kuwa uchumi wa Kenya unatarajiwa kuimarika mwaka kesho wakati utakapokua kwa asilimia 6.1.

    Hata hivyo,hii inaweza kuvurugwa na kampeni za uchaguzi Mkuu wa mwaka 2022.

    Katika Ripoti mpya, Shirika la Fedha Duniani (IMF) linasema kuwa utabiri wa uchumi hivi sasa unategemea kiwango cha juu kuliko kawaida cha kutokuwa na uhakika.

    Wakati ugonjwa wa Crona ukiendelea kuathiri maisha ya watu,Shirika la IMF linasema uchumi wa Kenya utakua kwa asilimia 1 mwaka huu-utendaji ambao ni mbaya kuliko ule ilioshuhudiwa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi mwaka 2008.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako