• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kuondolewa kwa ada kutagharimu kampuni ya safaricom sh bilioni 5.5

    (GMT+08:00) 2020-04-21 19:37:16
    Kuondolewa kwa ada iliyokuwa inatozwa unapotuma pesa itagharimu kampuni ya mawasiliano sh bilioni 5.5 zitatugharimu kwenye mapato yake ya M-Pesa katika miezi mitatu baada ya kuondolewa ada ya kutuma pesa chini ya Sh1,000.

    Kuondolewa huko ni ilikuwa ni njia moja ya kumaliza kuenea kwa ugonjwa wa corona kupitia kushika pesa.

    Wiki hii, Mkurugenzi Mtendaji wa Safaricom Peter Ndegwa, ambaye aliingia ofisini mnamo Aprili 1, amesema kampuni hiyo haina wasiwasi na upotezaji wa mauzo, kwani ni sehemu ya mchango wa kampuni ya mawasiliano katika kupunguza athari za Corona, ambayo imeuwa Wakenya 14 na Watu 281 kuambukizwa tangu kesi ya kwanza iliripotiwa Machi 13.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako