• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Manchester United na Arsenal zaipa baraka AS Roma kwa Smallinga na Mkhitaryan

    (GMT+08:00) 2020-04-22 15:38:58

    Club za Manchester United na Arsenal zimeipata baraka club ya AS Roma ya nchini Italia kuendelea kuwa na wachezaji Chris Smalling na Henrikh Mkhitaryan kama walivyoomba. Smalling yuko AS Roma kwa mkopo akitokea Man United wakati Mkhitaryan akiwa kwa mkopo akitokea Arsenal. Lakini kusimama kwa Ligi ya Italia kwa sababu ya corona kulisababisha changamoto ya mikataba ya mkopo ya wachezaji hao kuwa itamalizika kabla ya Ligi kuisha. Hivyo AS Roma ikatuma maombi rasmi katika vilabu vya wachezaji hao kuendelea kuwa nao kwa mkopo hadi June 30, AS Roma wakiamini kuwa janga la corona linawezekana kuwa limeisha na kupungua na Ligi itakuwa imemalizika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako