• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Messi aeleza kutamani mafanikio ya Ronaldo

    (GMT+08:00) 2020-04-22 15:39:17

    Mshambuliaji wa FC Barcelona Lionel Messi amefunguka kiu yake ya kutaka kuona anafanikiwa pia ngazi ya timu ya taifa kama ilivyokuwa kwa mshindani wake mkuu Cristiano Ronaldo. Messi, 33, ameeleza kuwa anatamani kushinda mataji pia na timu ya taifa kama ilivyokuwa kwa staa wa Juventus na Ureno Cristiano Ronaldo ambaye ana mafanikio timu ya taifa ya Ureno na club. Messi hajawahi kushinda taji lolote na taifa lake la Argentina timu ya wakubwa wakati Ronaldo ameshashinda Euro 2016 na UEFA National League.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako