• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wauguzi Kenya kupata kifurushi cha mawasiliano bila malipo kutoka kwa Safaricom

    (GMT+08:00) 2020-04-22 19:54:55

    Kampuni ya mawasiliano ya safaricom nchini Kenya itatoa kifurushi cha kuwasiliana bila malipo kwa wauguzi kwa kipindi cha miezi 3 ijayo.

    Naibu waziri wa afya Dkt. Mercy Mwangangi amesema kifurushi hicho kitakuwa ni pamoja na inatenti na muda wa kupiga simu.

    Mwangangi pia alitangaza kuwa wakfu wa Safaricom ulitoa vifaa vya kupima joto vya thamani ya shilingi milioni 10 ili kuongeza uwezo wa kupima virusi vya corona nchini humo.

    Wiki iliopita kampuni hiyo ilitangaza ongezeko la asilimia 70 la matumizi ya intaneti ikiwa ni pamoja na ongezeko la asilimia 40 ya matumizi kwenye simu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako