• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Sekta ya utengenezaji bidhaa yapungua lakini bado inachangia pakubwa ajira na uchumi

    (GMT+08:00) 2020-04-29 18:13:34
    Thamani ya sekta ya utengenezaji bidhaa kwa kuongeza ubora nchini Kenya ilipungua hadi asilimia 3.2 mwaka 2019, ikilinganishwa na asilimia 4.3 ya 2018.

    Ukuaji huo umechangiwa na kuongezeka kwa uzalishaji wa magari, matrekta mafuta ya mifugo na mboga na dawa.

    Idadi ya magari yaliounganishiwa nchini humo iliongezeka kwa asilimia 38 hadi 7,802 mwaka 2019 na hadi sasa sekta ya utengenezaji ya Kenya inachangia asilimia 15 ya bidhaa za ndani.

    Nayzo ajira rasmi katika tasnia ya utengenezaji iliongezeka kwa asilimia 1.6, kutoka ajira 347,900 mnamo 2018 hadi 353,300 mwaka 2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako