• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Serikali ya Kupiga jeki sekta ya nguo nchini kwa kuagiza PPE zenye thamani ya sh milioni 600

    (GMT+08:00) 2020-05-05 19:36:06

    Viwanda vya kutengeneza nguo vya ndani wameongeza uzalishaji wa vifaa vya kinga vya kibinafsi (PPE) kadiri mahitaji na juhudi za kupambana na kuenea kwa virusi vya Corona.

    Watengenezaji wanafurahi kukidhi mahitaji ya bidhaa muhimu, ambazo kwa kawaida zingeangizwa nchini.

    Katika kupiga jeki sekta za nguo nchini, mwenyekiti wa Mfuko wa Majibu ya Dharura ya virusi vya corona Jane Karuku amesema wameangiza ununuzi wa PPE zenye thamani ya Sh milioni 600 kusaidia wafanyikazi wa afya katika hospitali za umma.

    Hii ni kupiga jeki makampuni ya ndani amesema kwa kawaida pesa hizi zingekuwa zimeenda kwa waangizaji bidhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako