• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wanawake wanajikita sana kwenye sekta za elimo, ulinzi na usimamizi wa umma

    (GMT+08:00) 2020-05-06 19:49:54

    Utafiti wa kiuchumi wa mwaka 2020 nchini Kenya umeonesha kuwa wanawake wengi nchini humo wanafakazi kwenye sekta za elimu, kilimo, misitu, usimamizi wa umma na ulinzi.

    Sekta ya elimu ambayo ndio yenye idadi kubwa ya wanawake sasa imefikisha 281,000 ikilinganishwana 261,000 wa mwaka 2018.

    Usimamizi wa umma, ulinzi zina wafanyakazi wa kike 141,000.

    Hata hivyo wafanyakazi wa kiume wanaendelea kuwa wengi zaidi kwenye sekta zote na mwaka 2019 mgao wao kwenye soko la ajira lilifikia asilimia 64.5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako