• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakenya waanza kurejea kazini

    (GMT+08:00) 2020-05-06 19:50:37

    Ripoti ya kila wiki ya Google kuhusu usafiri wa watu umeonesha kuwa wakenya wameanza kurejea kazini.

    Ripoti hiyo imeonesha kuwa asilimia 16 ya wakenya walirejea kwenye kazi zao wiki iliopita.

    Mkuu wa mawasiliano wa Google barani Afrika Dorothy Ooko amesema hata hivyo watu wanaoondoka nyumbani kwao kila siku kwenda kazini wamepungua kutoka asilimia 25 hadi 20.

    Watu pia wamepungua kwa asilimia 5 kwenye mikahawa, maduka na kumbi za sinema.

    Kampuni hiyo inatumia teknolojia ya Google Maps kukusanya data kuhusu usafiri wa watu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako