• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Utekelezaji wa AfCFTA wahahirishwa

    (GMT+08:00) 2020-05-06 19:50:56

    Tarehe ya kuanza kwa utekelezaji wa mpango wa biashara huru barani Afrika wa dola trilioni 3.4 imeahirishwa kutoka Julai 1 kwa sababu ya janga la Covid-19.

    Mikutano ya mazungumzo ya Awamu ya Kwanza ya kuweka kanuni naa taratibu za utekelezaji ilikuwa imepangwa kufanywa nchini Afrika Kusini mwezi huu.

    Nayo awamu ya II ya mazungumzo hayo, yanayohusu uwekezaji, ushindani na haki miliki, yalipangwa kukamilika Januari 2021.

    Katibu Mkuu wa eneo la Biashara Huria la Bara la Afrika (AfCFTA) Wamkele Mene amesema juhudi zote sasa zimeelekezwa kuokoa maisha na kuboresha mifumo ya kiafya kwenye bara hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako