• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CORONA: Nyota wa Juventus Paulo Dybala apona virusi vya corona

    (GMT+08:00) 2020-05-07 08:46:41

    Nyota wa Juventus Paulo Dybala amepona virusi vya corona baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu. Dybala awali alipimwa mara nne corona na kukutwa bado ana maambukizi kitu ambacho alieleza kilikuwa kikimtesa. March 21 Dybala na mpenzi wake Oriana Sabatini waligundulika kuwa na maambukizi hayo kwa mara ya kwanza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako