• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Manchester United yawapa wachezaji wake siku saba kurejea mazoezini

    (GMT+08:00) 2020-05-07 08:47:11

    Klabu ya Manchester United, imewataka nyota wake waliopo nje ya Uingereza, kurejea haraka ndani ya siku saba kuendelea na majukumu yao kama zamani. Uamuzi huo umekuja ikiwa ni siku chache baada ya baadhi ya klabu za Premier League kuanza mazoezi ya kujiandaa na kurejea kwa ligi hiyo iliyosimama tangu Machi, mwaka huu kutokana na uwepo wa corona. Baadhi ya nyota wa timu hiyo ambao wapo nje ya Uingereza ni Fred (Brazil), Victor Lindelof (Sweden) na Sergio Romero (Argentina).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako