Bodi ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) jana iliidhinisha mkopo wa US$491.5 milion (takriban Shs1.9 trilioni), kuisaidia Uganda kushughulikia athari za kiuchumi zitokanazo na janga la Corona.
Naibu Mkurugenzi wa IMF ,Bw Tao Zhang, alisema janga hili la Corona linatarajiwa kuathiri uchumi wa Uganda kupitia sehemu mbalimbali.
Alisema Mamlaka za Uganda zimehakikisha na kujitolea kutumia fedha hizo kwa uwazi na wataimarisha uwajibikaji na uwazi.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |