• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China aendelea na ziara ya ukaguzi mkoani Shanxi

    (GMT+08:00) 2020-05-12 16:43:20

    Rais Xi Jinping wa China anaendelea na ziara ya ukaguzi katika mji wa Taiyuan, mkoani Shanxi.

    Wakati wa ziara hiyo, rais Xi alitembelea Kituo cha utoaji wa huduma za mambo ya kisiasa kwenye eneo la kielelezo la mageuzi katika mkoa wa Shanxi na Kampuni ya chuma cha pua ya TISCO. Ziara hiyo ililenga kupata ufahamu juu ya mageuzi na kupanda ngazi kwa viwanda vya jadi vya utengenezaji, kurejeshwa uzalishaji katika kampuni, uhifadhi wa mazingira ya ikolojia na kazi ya kukinga na kushughulikia uchafuzi wa mazingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako