• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kampuni ya tairi ya Sameer Africa imefunga biashara yake

    (GMT+08:00) 2020-05-12 20:48:06
    Kampuni ya tairi ya Sameer Africa imefunga biashara yake hatua ambayo itaiona wafanyikazi 73 kutoka kampuni wakienda nyumbani mwishoni mwa mwezi huu.

    Soko la Hisa iliorodhesha kampuni hiyo ilikuwa imefuta kazi wafanyikazi 52 hivi karibuni.

    Sameer amesema biashara ya tairi imeendelea kuteseka licha ya hatua mbali mbali ikiwamo uamuzi wa 2016 wa kufunga kiwanda cha Nairobi na kutoa bidhaa kutoka Asia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako