• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afrika: Zaidi ya ajira rasmi 30,000 zimepotea katika tasnia ya utengenezaji wa bidhaa

    (GMT+08:00) 2020-05-12 20:48:26
    Zaidi ya ajira rasmi 30,000 zimepotea katika tasnia ya utengenezaji wa bidhaa na asilimia 80 ya kazi zilizopo haziko imara wakati huu wa virusi vya corona .

    Watengenezaji sasa wanasema hali ya kazi inabaki kuwa mbaya na serikali inachukua muda mrefu kuunda mikakati ya kulinda mazingira ya biashara yaliyovurugika.

    Uuzaji wa rejareja, kilimo, vinywaji na sekta ya nguo huunda idadi kubwa ya ajira na huchangia hadi asilimia 60 ya sekta ya utengenezaji ya Pato la Taifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako