• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza kutimiza jamii yenye ustawi wa kati katika nyanja zote

    (GMT+08:00) 2020-05-12 21:07:36

    Rais Xi Jinping wa China amesisitiza juhudi zaidi ziongezwe katika kujenga jamii yenye ustawi wa kati katika nyanja zote, na kuendeleza kasi hiyo kuandika ukurasa mpya wa ujamaa wenye umaalum wa Kichina kwa ajili ya zama mpya.

    Rais Xi amesema hayo wakati wa ziara yake ya ukaguzi mkoani Shanxi. Ametoa wito wa juhudi zaidi katika kukabiliana na janga la virusi vya Corona na kupiga hatua kubwa katika mageuzi ya ubora wa juu na maendeleo ili kuhakikisha kuwa lengo la kuondoa umasikini linatimia, na ujenzi wa jamii yenye ustawi wa kati kwa nyanja zote unakamilika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako