• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Mikel Arteta amchimbia mkwara kiaina Aubameyang

    (GMT+08:00) 2020-05-13 08:27:59

    Kocha Mkuu wa Arsenal Mikel Arteta amesema kuwa hawezi kumbembeleza mchezaji kusalia ndani ya klabu hiyo iwapo hana nia ya kubaki hapo kwani mchezaji anatakiwa kujituma na kujitoa kwa ajili ya klabu. Hali hiyo imefikia kutokana na kuwepo tetesi kwamba nyota wao Pierre Emerick Aubameyang amegoma kusaini mkataba mpya. Mkataba wake ndani ya Arsenal umebakiwa na miezi 14 kabla ya kuondoka kikosini hapo na unatarajiwa kumalizika mwezi Juni 2021. Imekuwa ikitajwa kuwa Inter Milan, Barcelona na Real Madrid zinahitaji kupata saini ya mshambuliaji huyo ambaye ni nahodha ndani ya Arsenal.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako