• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Manara anyoosha mikono kwa Senzo

    (GMT+08:00) 2020-05-13 15:57:11

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Haji Manara, ameshindwa kuzuia hisia zake na kumtaja bosi wake, Ofisa Mtendaji Mkuu (C.E.O), kuwa ni kati ya viongozi wachapa kazi. Senzo raia wa Afrika Kusini, aliyetua nchini mwaka jana, amekuwa nyuma ya mafanikio ya Simba msimu huu ambayo inaongoza katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na pointi 71. Manara amesema, kwa miezo saba aliyokaa na Senzo, amejifunza mambo mengi kutokana na kiongozi huyo kulifahamu vizuri soka la Afrika. Manara alisema amegundua kuwa CEO huyo, yupo makini katika kufanya kazi yake inavyotakiwa pia ana ushirikiano mkubwa na watu wanaomzunguka ndani na nje ya kazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako