• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapato ya Vodacom yaongezeka kwa asilimia 8.9

    (GMT+08:00) 2020-05-13 20:36:55

    Kampuni ya huduma za mawasiliano ya Afrika Kusini Vodacom imeripoti ukuaji wa mapato wa asilimia 8.9.

    Hata hivyo Vodacom haijatangaza matarajio ya mapato ya baadaye kutokana na hali isiyoweza kutabiriwa ya kiuchumi kwa sasa.

    Mkurungezi mkuu wa kampuni hiyo Shameel Joosub amesema ongezeko la mapato limechangiwa na kuongezeka kwa wateja ambao sasa wanafikia milioni 116 kwenye soko lake.

    Vodacom imeboresha huduma zake za intaneti kwenye nusu ya pili ya mwaka 2019 na kuunganisha nyumba na biashara 61,400 katika huduma hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako