• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Barcelona Yakataa Kumtoa Arthur

    (GMT+08:00) 2020-05-19 18:10:41

    Juventus inamtaka Arthur Melo katika dili la kubadilishana na Miralem Pjanic kutua Barcelona. Wakati hayo yakijiri, Barcelona imesema haipo tayari kumlazimisha kiungo wake huyo kutimkia Juventus kama mwenyewe hataki kwenda. Hivi karibuni, Arthur alinukuliwa akisema kuwa, anataka kuendelea kuwa Barcelona, na hana chaguo lingine zaidi ya hapo alipo. Kiungo huyo ambaye ameonekana kutokuwa na nafasi msimu huu ndani ya Barcelona, inaelezwa kuwa yupo kwenye mipango ya msimu ujao na klabu hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako