• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: United watalazimika kumng'oa kiungo mshambuliaji wa Aston Villa kwa dau la paundi milioni 80

    (GMT+08:00) 2020-05-19 18:12:41

    Manchester United watalazimika kulipa paundi milioni 80 kwa ajili ya kumnasa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Aston Villa, Jack Grealish mwenye umri wa miaka 24, hata kama timu yake itashuka daraja msimu huu. United walitarajia kumng'oa nyota huyo ambaye anakipiga na Mtanzania Mbwana Samatta ndani ya klabu hiyo ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu pale England kwa dau la paundi milioni 50, lakini jambo ambalo linaonekana kugonga mwamba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako