• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Lukaku sitamsamehe kamwe Andre Villas-Boas

  (GMT+08:00) 2020-05-22 16:14:17

  Mshambuliaji wa Inter Milan ya Italia Romelu Lukaku ameeleza hasira zake kwa kocha wa zamani wa Chelsea Andre Villas Boas na kusema hawezi kumsamehe kwa sababu ya kumuacha katika kikosi cha UEFA Champions League 2011/12. Lukaku aliwasili Chelsea 2011 kwa uhamisho wa pound milioni 17 lakini hakupata nafasi chini ya kocha Andre Villas-Boas na hakumjumuisha katika kikosi cha Champions League, baadae Boas alifukuzwa na nafasi yake kurithiwa na Di Matteo ambaye alitwaa Ubingwa na kuamua kumchukua Lukaku katika sherehe za Ubingwa waliporejea London wakitokea Munich ilikopigwa fainali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako