• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika yazidi laki moja

  (GMT+08:00) 2020-05-23 18:43:12

  Takwimu zilizotolewa jana na Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) zinaonyesha kuwa, idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika imezidi laki moja na kufikia 100,330, huku idadi ya vifo ikiongezeka hadi 3,101. Wakati huohuo wagonjwa takriban 39,416 wamepona.

  Kituo cha Africa CDC kimeongeza kuwa hadi sasa virusi vya Corona vimesambaa kwenye nchi 54 za Afrika, na eneo la kaskazini mwa Afrika linaathiriwa zaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako