• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China ahutubia kwenye kikao cha wajumbe wa sekta ya uchumi wa baraza la mashauriano ya kisiasa

  (GMT+08:00) 2020-05-23 22:29:24

  Rais Xi Jinping wa China amehudhuria mjadala wa wajumbe wa sekta ya uchumi wanaoshiriki kwenye mkutano wa mwaka wa baraza la mashauriano ya kisiasa, huku akibadilishana maoni nao.

  Xi alisema serikali ina imani na uhakika wa kutimiza ahadi ya kuondoa kabisa umaskini ndani ya mwaka huu, na ni lazima tuasaidie ndugu zetu wa wakulima. Ameongeza kuwa makampuni binafsi ya China yanaendelea kwa haraka, hali ambayo inatokana na ushupavu mkubwa wa kukabiliana na changamoto mbalimbali ili kusonga mbele zaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako