• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asema Hubei na Wuhan zitafufuka kutoka janga la virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-05-25 20:49:18

    Rais Xi Jinping wa China amehudhuria mjadala wa ujumbe wa mkoa wa Hubei unaohudhuria mkutano wa mwaka wa Bunge la Umma la China. Rais Xi amezitia moyo jamii mbalimbali za mkoa wa Hubei kuendelea kushikilia moyo wa kupambana na virusi vya Corona, huku akisisitiza kuwa mkoa wa Hubei na mji mkuu wake Wuhan utaweza kufufuka kutoka janga la virusi hivyo.

    Hubei ni mkoa wa kwanza uliotoa ripoti kuhusu mgonjwa wa virusi vya Corona nchini China. Chini ya uongozi wa rais Xi, kazi ya udhibiti na kinga ya virusi mjini Wuhan na mkoani Hubei umepata ushindi wa kimsingi ndani ya miezi mitatu, na China imefanikiwa kudhibiti maambukizi hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako