• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asisitiza kuimarisha ulinzi wa taifa na nguvu za kijeshi

    (GMT+08:00) 2020-05-26 19:53:14

    Rais Xi Jinping wa China amesisitiza malengo na majukumu ya kuimarisha ulinzi wa taifa na nguvu za kijeshi mwaka huu, wakati ikidumisha kudhibiti kwa ufanisi maambukizi katika hali ya kawaida.

    Rais Xi amesema hayo alipohudhuria kikao cha ujumbe wa jeshi la ukombozi la China na kikosi cha polisi cha Mkutano wa tatu wa Bunge la 13 la Umma la China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako