• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Klabu za Espanyol na Leganes kuwafidia mashabiki kwa kuingia bure uwanjani msimu wa 2020/21

    (GMT+08:00) 2020-05-27 08:32:58

    Klabu za Espanyol na Leganes zimetangaza njia mbadala ya kupunguza hasara kwa klabu na mashabiki wake waliokuwa wamekata tiketi za msimu 2019/20 wakati huu ambao kuna mlipuko wa janga la Corona. Kwa pamoja Espanyol na Leganes wametangaza kuwa watawafidia mashabiki zake kwa kuingia bure msimu wa 2020/21 kwa wale waliokuwa wamekata tiketi za msimu sababu msimu huu ambao utaendelea Juni utamaliziwa kwa kuchezwa bila mashabiki. Hadi Ligi Kuu ya Hispania LaLiga msimu wa 2019/20 inasimama mwezi Machi sababu ya janga la Corona mashabiki hao walikuwa washatazama asilimia 20 ya mechi za nyumbani za timu yao kwa waliokata tiketi za msimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako