• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya wachunguzi wa China yaelekea kwenye kilele cha mlima Qomolangma

    (GMT+08:00) 2020-05-27 08:37:28

    Timu ya wachunguzi wanane wa China imefunga safari kuelekea kwenye kilele cha mlima Qomolangma, ambacho ni kilele cha juu zaidi duniani, kutoka kwenye kambi yao iliyoko urefu wa mita 8,300 kutoka usawa wa bahari saa nane na dakika kumi leo alfajiri.

    China imeanza raundi mpya ya upimaji wa urefu wa mlima Qomolangma Aprili 30, lakini hali mbaya ya hewa imesababishwa kuahirishwa mara mbili kwa mipango ya kufika kileleni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako