• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkusanyiko wa sheria za kiraia wa China wazindua zama mpya ya kuhakikisha kwa pande zote haki za kiraia

    (GMT+08:00) 2020-05-28 18:25:34

    Mkutano wa tatu wa Bunge la 13 la Umma la China umefungwa leo.

    Mkutano huo umepitisha muswada wa mkusanyiko wa sheria za kiraia na utekelezaji wake utaanza Januari Mosi mwaka 2021. Huu ni mkusanyiko wa kwanza wa sheria tangu Jamhuri ya Watu wa China kuanzishwa, na utakapoanza kutekelezwa, uhakikishaji wa haki za kiraia wa wachina bilioni 1.4 utaingia katika zama mpya.

    Spika wa bunge hilo Bw. Li Zhanshu amesema, muswada huo umekuwa alama muhimu ya kuhimiza kwa pande zote kuitawala nchi kwa kufuata sheria na kukamilisha mfumo wa sheria wa ujamaa wenye umaalumu wa China, na utatoa uhakika kamili wa sheria za kiraia kwa ufunguaji mlango na mageuzi ya zama mpya na ujenzi wa mambo ya kisasa wa ujamaa .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako