• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yawatunukia tuzo watu wanaofanya hodari katika sekta ya sayansi na teknolojia

    (GMT+08:00) 2020-05-30 20:40:09

    Mwanataaluma kutoka Taasisi ya Sayansi ya China Bw. Xiang Tao ametoa wito wa kufanya utafiti kuanzia msingi, na kuandaa taratibu na mazingira za kuhamasisha uvumbuzi ili kuondoa kabisa "tatizo la kukabwa" katika teknolojia muhimu wakati China inajijenga kuwa nchi yenye nguvu za kiteknolojia.

    Bw. Xiang amesema hayo baada ya kutunukiwa "tuzo ya uvumbuzi bora" kwenye sherehe iliyofanyika leo hapa Beijing.

    "Tuzo ya Uvumbuzi Bora ya China" ilizinduliwa mwaka 2017 ili kuwapongeza watu na timu zinazotoa mchango mkubwa katika sekta za sayansi na teknolojia. Mwaka huu, wadau wa sekta hizo waliochangia zaidi katika kazi za kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona na mapambano dhidi ya umaskini pia wametunukiwa tuzo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako