• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vikosi vya Msumbiji vyajibu kwa mashambulizi ya kigaidi kaskazini mwa nchi

    (GMT+08:00) 2020-06-01 08:55:08

    Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji amesema vikosi vya jeshi la nchi hiyo vinajibu vikali na kwa ujasiri mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea katika jimbo la Cabo Delgado, kaskazini mwa nchi hiyo.

    Akiongea kupitia radio ya taifa alipokuwa kwenye ziara ya kikazi katika jimbo hilo wikiendi hii, Rais Nyusi amesema kuwa matokeo ya operesheni hizo za kijeshi yanatia moyo.

    Aidha Rais Nyusi amekutana na maofisa waandamizi wa Vikosi vya ulinzi na usalama huko Cabo Delgado, akiambatana na mawaziri wa ulinzi na mambo ya ndani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako