• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wa afya wa China nchini Sudan wafanya mkutano kwa njia ya video kuhusu virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-06-01 09:44:24

    Wataalamu wa afya wa China nchini Sudan wamefanya mkutano na watu wa China nchini humo kwa njia ya video kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya virusi vya Corona.

    Wafanyakazi kutoka kampuni za China nchini Sudan na wachina wanaoishi nchini humo wameshiriki katika mkutano huo, ambao wataalamu wa afya wa China wamejibu maswali yanayohusiana na virusi vya Corona na kujulisha hatua za kujikinga dhidi ya virusi hivyo.

    Timu ya madaktari wa China Alhamisi iliyopita iliwasili Khartoum, mji mkuu wa Sudan kutoka Algeria baada ya kumaliza jukumu la wiki mbili kupambana na virusi vya Corona nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako