• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chombo cha anga za juu cha Space X chaungana na kituo cha kimataifa katika anga ya juu

    (GMT+08:00) 2020-06-01 09:45:14

    Chombo cha usafiri wa anga za juu cha Space X Crew Dragon jana kiliungana na Kituo cha Anga cha Kimataifa ISS katika operesheni ya kihistoria.

    Kikiwa ni chombo cha kwanza cha kibiashara, Crew Dragon kimeungana na Kituo cha Anga cha Kimataifa, huku kikiwabeba wanaanga Bw. Bob Behneken na Doug Hurley.

    Wanaanga hao wawili wameshirikiana na kituo cha udhibiti cha SpaceX kuhakikisha chombo hicho kinafanya kazi kama ilivyopangwa kupitia kufanyia majaribio mifumo yake mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako