• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maandamano ya kupinga mauaji ya George Floyd yafanyika Uingereza na Ireland

    (GMT+08:00) 2020-06-01 09:58:47

    Maandamano yamefanyika nchini Uingereza na Ireland kupinga mauaji ya mmarekani mweusi George Floyd, ambaye aliuawa kwa kukanyagwa shingoni na polisi katika Jimbo la Minnesota.

    Licha ya zuio la mikusanyiko, maelfu ya watu walijumuika huko London na Manchester nchini Uingereza, kuandamana kwa ajili ya kifo cha George Floyd.

    Shirika la utangazaji la radio na televisheni la Ireland RTE limeripoti kuwa, maandamano mawili yamefanyika siku hiyo nchini humo. Moja ya maandamano yalitokea nje ya ubalozi wa Marekani kwenye eneo la Dublin, na mengine yalifanyika kwenye bustani ya Phoenix, nje ya makazi ya mabalozi wa Marekani nchini Ireland.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako