• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Ighalo kuendelea kusakata kabumbu Man United

    (GMT+08:00) 2020-06-02 08:32:43

    Mshambuliaji wa Nigeria anayecheza Man United kwa mkopo akitokea Shanghai Greenland ya China Odion Ighalo, 30, ameongezwa mkataba wake wa mkopo Man United. Ighalo ambaye sasa atasalia Old Trafford hadi Januari 31 2021, mkataba wake wa awali ulimalizika Mei 31 2020. Odion Ighalo ambaye wengi hawakuwa wakitarajia makubwa kutoka kwake, ameonesha uwezo mkubwa sasa katika kipindi kifupi alichocheza Man United.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako