• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vyuo vikuu vya Tanzania vyafunguliwa kwa tahadhari baada ya kufungwa kwa miezi mwili

    (GMT+08:00) 2020-06-02 08:43:56

    Vyuo vikuu nchini Tanzania vimefunguliwa kwa tahadhari baada ya kufungwa kwa miezi miwili kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona.

    Wakuu wa vyuo vikuu nchini humo wamesema wamechukua hatua za tahadhari siku kadhaa kabla ya kuvifungua tena, kwa mujibu wa maagizo yaliyotolewa na mamlaka ya elimu.

    Mei 21, rais John Pombe Magufuli wa Tanzania alitangaza kuwa vyuo vikuu vitafunguliwa Juni mosi baada ya kupungua kwa idadi ya maambukizi ya COVID-19 nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako