• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Misri yatuma msaada wa kimatibabu kwa DRC, Zambia kupambana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-06-02 08:44:13

    Misri imetuma msaada wa vifaa tiba na dawa kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Zambia, ili kuzisaidia nchi hizo kupambana na COVID-19.

    Msemaji wa jeshi la Misri amesema ndege ya kijeshi iliyobeba vifaa tiba na dawa ilitumwa chini ya maagizo ya rais Abdel-Fattah al-Sisi wa Misri, kuzisaidia nchi hizo mbili kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako