• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Putin: Russia itapiga kura za maoni kuhusu marekebisho ya katiba Julai mosi

    (GMT+08:00) 2020-06-02 08:44:48

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametangaza kuwa Russia itafanya upigaji wa kura za maoni kuhusu marekebisho ya katiba Julai mosi.

    Upigaji huo wa kura za maoni ulipangwa kufanyika Aprili 22, lakini uliahirishwa kutokana na mlipuko wa COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako