• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Deni ya kimataifa kwa tasnia ya ndege inaweza kupanda hadi dola bilioni 550 ifikapo mwisho wa mwaka.

    (GMT+08:00) 2020-06-02 19:47:48

    Katika uchambuzi wake wa hivi karibuni Chama cha Kimataifa cha Usafiri wa Anga (IATA) inasema deni ya kimataifa kwa tasnia ya ndege inaweza kupanda hadi dola bilioni 550 ifikapo mwisho wa mwaka.

    Hii ni baada ya Serikali, katika uchumi ulioendelea, kuongeza mkopo wa dola bilioni 67 kwa dola bilioni 52 ambazo walikuwa wameshapata mkataba kutoka vyanzo vya kibiashara, kwa ajili ya kufufua mashirika ya ndege.

    Aidha Chama hicho kimesema mashirika mengi ya ndege bado yanahitaji misaada lakini serikali zitahitaji kufahamu athari za deni kwa sababu aina ya misaada iliyotolewa itakuwa na athari ya moja kwa moja baada ya Corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako