• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watoto wote katika vijiji vya mkoa wa Xinjian nchini China wanapata bure elimu ya awali

    (GMT+08:00) 2020-06-02 21:15:28

    Mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur umetimiza upatikanaji wa elimu ya awali inayotolewa bure katika maeneo ya vijijini kwa kuendeleza uwekezaji kwenye masuala ya elimu.

    Kwa mujibu wa mkutano na wanahabari uliofanyika leo, Xinjiang imewekeza zaidi katika ujenzi, ukarabati, na upanuzi wa shule zote 4,408 za awali katika maeneo ya vijijini.

    Mpaka sasa, watoto wote walio na umri wa kujiunga na shule za awali wenye umri wa miaka minne hadi sita mkoani Xinjiang wanapokea elimu ya awali katika shule za chekechea, na wanapewa chakula cha mchana, vitafunwa na matunda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako