• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Palestina yaihimiza ICC kuchunguza kitendo cha Israel cha kubomoa nyumba za wapalestina katika eneo la Jerusalem Mashariki

    (GMT+08:00) 2020-06-03 08:37:11

    Palestina jana Jumanne imeihimiza Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC kufungua uchunguzi rasmi juu ya kitendo cha Israel cha kubomoa nyumba za wapalestina kwenye eneo la Jerusalem Mashariki.

    Wizara ya mambo ya nje ya Palestina inasema mamlaka nchini Israel zinabomoa nyumba na majengo binafsi katika eneo hilo, ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kupanua makazi ya wayahudi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako