• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Athari za mlipuko wa COVID-19 kwa uchumi wa Marekani zakadiriwa kudumu kwa miaka kumi

    (GMT+08:00) 2020-06-03 08:37:50

    Ofisi ya Bajeti ya Bunge la Marekani CBO Jumatatu ilikadiria kuwa athari za mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea kwa uchumi wa Marekani, zitadumu kwa miaka kumi na kuleta hasara za dola za kimarekani trilioni nane.

    Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian, mkurugenzi wa Ofisi ya CBO Bw. Phillip Swagel ameandika kwenye barua yake kwa wabunge kwamba mlipuko wa COVID-19 utapunguza GDP ya Marekani kwa asilimia 3 hadi kufikia mwaka 2030.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako